0% kwakudai haki zawazanzibari!
Ndugu WACHA,
Natumai kuwa uhali njema. Lazma ni kwambie wazi,Wrong number, jaribu kwengine! kwasabu zifutazo.
1. Hayo maswali umeya misdirect, mwanzo kabisa the arguments unazotaja zimeletwa na CHUIWAMASHARIKI, though I fully support maoni yake, he is...