Recent content by Dr Kyaligonza

  1. D

    Kigali Peace Marathon

    Habari zenu, nimeona kwenye mtandao mmoja huku team nyingi za riadha kutoka Tanzania zimejiandikisha kushiriki Kigali Peace Marathon.. Kama mwenzenu ningeomba mnitumie kutafuta affordable accomodation huku.. Vilevile kuna comission kwa atakayeniunganisha na group au watu watakao kuja.. Ndio...
  2. D

    Kusafiri ndani ya afrika mashariki

    Wengi wapo Remera na Gikondo
  3. D

    Kusafiri ndani ya afrika mashariki

    Kigali poa hoteli ya wastani unapata kwa frw 25,000 hiyo ni self contained with wifi breakfast included.. Lakini hata 10000Frw unapata pakulala yote inategemea na budget yako.
  4. D

    Kusafiri ndani ya afrika mashariki

    Unaweza kuchukulia temporary passport mpakani mkuu, ila wambie kuwa unadharura either unakuja msibani au utafute sababu nyingine otherwise utarudishwa.. Kalibu Kigali
Back
Top Bottom