"Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu"
Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani yako.
Wakati mwingine hata kwa Mpenzi wako usitafute kujua kila kitu kuhusu yeye, wanadamu...
Mwanamke napaswa kushika kwenye uanamke wake hata kama amelolewa na mwanajeshi. Sio kwamba kuna shida mwanamke kufuatilia vita vya Ukraine ila HAKUNA FAIDA YOYOTE atakayoipata kwa kufuatilia vita vya Ukraine.
Kufuatilia habari ni sifa za mwanaume ndio maana ata wazee wetu enzi zao akifika...
I guess umeninukuu vibaya Katika hoja yangu sijamaanisha kuwa mwanamke anapaswa kuwa kilaza, Mjinga Mjinga, Mshamba, au mpumbavu. Hakuna mwanaume anayehitaji mwanamke aina hiyo.
Point yangu ni kuwa kuna muda mwanamke anapaswa kuwa kama mtoto kwa mumewe. Asiwe mjuaji sana, awe mwenye akili kwa...
I guess umeninukuu vibaya Katika hoja yangu sijamaanisha kuwa mwanamke anapaswa kuwa kilaza, Mjinga Mjinga, Mshamba, au mpumbavu. Hakuna mwanaume anayehitaji mwanamke aina hiyo.
Point yangu ni kuwa kuna muda mwanamke anapaswa kuwa kama mtoto kwa mumewe. Asiwe mjuaji sana, awe mwenye akili kwa...
Ignorance na ushamba unazungumzia wewe sio sifa ya mwanamke. Wala haija wahi kuwa sifa yake. I guess unaniquote vibaya.
Katika hoja yangu sijamaanisha kuwa mwanamke anapaswa kuwa kilaza, Mjinga Mjinga, Mshamba, au mpumbavu. Hakuna mwanaume anayehitaji mwanamke aina hiyo.
Point yangu ni kuwa...
Katika wote walioelewa uzi wewe ni no moja. Yaani ata me nimeelewa zaid. Unalozungumza ndio nilitaka kulizungumzia. "A female must posses femine characters" asa kuna watu wamekazana unaogopa maisha unaogopa maisha.
Mkuu mke akupangie mipango wewe, akupe challenge wewe. Wa kwangu nitampangia mimi na maswala ya uchumi sio kazi yake. Kazi yake ni kuitunza ndoa, kufanya ibada kulea watoto kwenye maadili, ndani pawe sawa basi. Yaani akili yake na passion yale yote iwe kwa Mungu, Mume, watoto na ndoa kiujumla...
Kuna mwanamke kilaza na Mjuaji. Hawa wote hawafai. Nazungumzia mwanamke ambaye ni kama mtoto kwa mama yake. Akili ya mama ndio akili yake ila sio yeye kuwa mjuzi wa mambo kuliko mamaye.
Kwann unasema ivo Mkuu. Nna mke na tunapenda sana. Ana akili kiasi na sio mjuaji sana. Ni maoni yangu Tu kwamba mke akiwa mjuaji sana ndani hamtaelewana. Mwangalie mke wa Billgate na wanawake wote wenye akili nyingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.