Recent content by Dr isaya febu

  1. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uume uwe imara

    sawa daktari
  2. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uume uwe imara

    endelea kupiga kupita kiasi
  3. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uume uwe imara

    Uume Imara (Afya Ya Uume): Ili kufanya uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa), unahitaji kuzingatia afya ya mwili, akili, na mtindo wa maisha. Zifuatazo ni baadhi ya njia muhimu na salama kabisa zinazosaidia uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa); 1) Lishe Bora...
  4. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mtoto Kuzaliwa Na Korodani Moja

    Mtoto kuzaliwa na korodani moja ni hali ambapo mtoto ana korodani moja tu iliyoshuka kwenye mfuko wa korodani (scrotum), wakati korodani nyingine inaweza kuwa haijashuka (undescended), haipo, au imeondolewa. Hali hii inajulikana pia kama monorchism. Athari Za Kuzaliwa Na Korodani Moja: Athari...
  5. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Fangasi Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.

    ndio
  6. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Fangasi Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.

    Fangasi Kwa Mwanaume: Fangasi kwenye uume (fungal infections in men) ni maambukizi yanayosababishwa na fangasi wa aina mbalimbali, hasa Candida albicans. Maambukizi haya huathiri ngozi ya uume na maeneo ya karibu, na mara nyingi huambukizwa kutokana na usafi duni wa sehemu za siri. Maambukizi...
  7. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Korodani Moja Inazalisha?

    both team to score
  8. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Korodani Moja Inazalisha?

    Ndiyo, korodani moja bado inaweza kuzalisha mbegu za kiume za kutosha na kumwezesha mwanaume kutungisha mimba. Hali ya kuwa na korodani moja kwa mwanaume hujulikana kwa kitaalamu kama Monorchism. Korodani ina jukumu la kuzalisha mbegu za kiume (sperms) na homoni ya kiume, testosteroni. Ingawa...
  9. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

    ajali kazini
  10. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

    kabisa mzee
  11. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

    hii njia unapoitumia unafanya betting tu
  12. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

    Kumwaga Nje: Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo: 1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu. Kabla ya mwanaume kufika kileleni, hutoa majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate). Haya majimaji huweza...
  13. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Dawa Ya Visunzua Sehemu Za Siri.

    Visunzua Sehemu Za Siri: Visunzua sehemu za siri vinavyojulikana kitaalamu kama genital warts ni vinyama vidogo vinavyoota sehemu za siri kutokana na maambukizi ya HPV (Human Papillomavirus). Hutokea kwa wanaume na wanawake, na mara nyingi husambazwa kwa njia ya ngono isiyo salama. Dawa...
  14. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake

    Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu kama Hormonal imbalance. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia kubwa...
  15. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Lijue Tatizo la Kujihisi Mnene na Kukosa Hamu ya Kula (Anorexia nervosa).

    Anorexia Nervosa Ni Nini? Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni mwembamba kupita kiasi. Mtu mwenye anorexia huwa na mtazamo usio sahihi juu ya mwili wake na huamini...
Back
Top Bottom