Recent content by dr hb

  1. D

    Diploma ya CO na diploma ya PHARMACY?

    SOMA CL.MEDICNE ,hata kama dip utosumbuka kupata kazi,umechaguliwa chuo gan medcn?
  2. D

    Diploma ya CO na diploma ya PHARMACY?

    utaratibu wa sasa hivi,unapomaliza ukipata cheti chako unaomba kazi wizara ya afya kwa kuandika barua,ila pharmacy ni bora usome vyuo vinavyojulikana ambavyo vimesajiriwa na serikal,kuna vyuo vingine havijasajiliwa unaweza ukasoma mbelen ikakusumbua kwenye kazi,kwan pharmacy chuo gan...
  3. D

    Diploma ya CO na diploma ya PHARMACY?

    soma ukipendacho,lakini kila kimoja kinafaida tofauti tofauti,zote ni nzuri,ila faida ya clinical medicene unakua multipurpose,vitu vyote unasoma ingawaje sio kwa undani zaidi,pharmacy iko nzuri sana ukifika ngaz ya bachelor,waweza kua mfamasia wa wilaya,oda za dawa za wilaya unatoa wewe,sasa...
  4. D

    Naombeni msaada kuniangalizia jina

    hilipo bro,pole sana
  5. D

    Wanajf wapi nitapata nafasi ya kujiunga na kozi ya Clinical officer.

    bora atafute nafasi machame,ecknford inasemekana hakijakamilisha usajili kutoa course iyo,ukikosa hairisha mwaka uombe mwakan wizara ya afya kama vigezo vinakidh
  6. D

    Laboratory technician

    zote ziko poa tu,ni wewe mwenyew unahitaji ipi?kwasababu medical lab,anafanya kazi hosp,had katika research centres za kimedical,biotechnology, viwandani,had kwenye research kwa kias fulan anahusika,kiufup ni course nzur zote.ila angalizo med lab ni rahisi kupata kaz serikalin kuliko...
  7. D

    diploma in dental technology vs diploma in clinical medicine

    asante jiliml diploma in clinical medicen ni daraja la kufikia MD
  8. D

    diploma in dental technology vs diploma in clinical medicine

    mr kidney soma vizur thread utaielewa hzo zote ni diploma level,au hujui kama kuna diploma ya dental?na pia specialist wa dental hata uyo clinical officer akisma MD,anaweza kua specialist wa dental,sijaongea uspecialist,hizo zote ni diploma leve
  9. D

    diploma in dental technology vs diploma in clinical medicine

    naombeni wana jf mnijuze ipi kati ya course ya diploma in dental tech na diploma in clinical medicine ni nzuri kwa vigezo hivi 1)maslahi 2)ajira 3)uwezekano mkubwa wa kujiajir mwenyew kutokana na course husika 4)ipi ngumu
  10. D

    Laboratory technician

    kwa kua specilized kwa hosp haiwezekan,coz wanaospecialize lab za hosp ni hao medical laboratory,kwa iyo ya kwako unaweza ukasoma tena kitu kinachoitwa biotechnology ambayo inahusiana na viwanda,lakin kwa hosp ni ngumu
  11. D

    Laboratory technician

    ivyo vyote ulivyooandika havina utofauti,sema iko tofauti na hii kitu inayoitwa medical laboratory technology/science/technician ambae uyu yupo based sana na maabara za afya/hospitalin. ni ya kimedicene zaidi tofauti na iyo
  12. D

    Laboratory technician

    vyuo karibia vyote vya ufundi inatoa iyo kitu,kama DIT,arusha tech,MUST
  13. D

    Certificate in clinical medicine(clinical assistant).

    dah nashukuru kwa kunisaidia mtu anaambiwa ukweli anakua na hasira,sasa nin maana ya kuuliza? certfcate hadi degree? labda karudie tena kusoma ilo tangazo,lugha nayo wakati mwingne tatizo,au naweza kukutajia vyuo vinavyotoa management katika afya,kama mzumbe,udom health informatin system then...
  14. D

    Certificate in clinical medicine(clinical assistant).

    clinical assnt ni certificate ya clinical medicene,umeona wap mtu mwenye certificate akaenda kusoma degree program?clinical assnt had asome degree ni lazima asome tena clinical officer,ndo asome degree progrme ya hv ulivosema
Back
Top Bottom