Watu wanafungua mashine na kuchange wanalipwa laki na nusu Mzee, kampuni zinatofautiana, na watu wanalipwa million sio mpk uwe mkalimani, mimi mwenyewe nalipwa laki nane lkn ata kichina cjui
Inategemea cheo, uzoefu wa kazi na kazi waliyokupa, hawajaligi elimu Hawa jamaa, kuna mtu ana degree...