Kwa wahitimu wa form six napenda kuwajulisha pia wakati mnachagua degree program pia kuna program kama za bachelor's of science in. Chemistry, biology, physics, mathematics and statistics.
Watu wengi huwa wanazidharau hizi programs but ni kwa sababu hawajui vizuri undani wake na mapana yake...
Wakuu naombeni ushahuri wenu Nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka MCHEPUO WA HGE AMEPATA DDD JE ANASTAHILI KWENDA KUSOMA NN KULINGANA NA HIYO COMBINATION UKIACHILIA MASWALA YA COMPETITION YA NAFASI , MAANA MM SIO MWENYEJI WA HIYO MCHEPUO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.