Huyu dada hakupendi, hata mm nisingekubali, ulitakiwa umtongoze muwe kwenye lavidavi kabla ya mambo ya ndoa, amekuitikia tu ndio kwasababu wazaz walikuwepo. Na anaona niolewe nae bas hta nitambe mtaani mwanaume Ana nyumba ila kuoa na kumlaza kwenu na hakupendi usitegemee ndoa hapo. Ila kwel...
Aisee sio wote. Kama mm aisee yule msela akijisikia anaongea na mwanae namtoa mtoto wanaongea mm nipo pembeni yaan hata ipite kitu cha ajabu tutaishia kuangalia no connection. Na hofu tu nikimwacha na mtoto atakimbia nae nisimuone tena.
Sio single mom wote wabaya, wengine wamepita kwenye mahusiano mabaya sana, kama mtu unajitoa kumpenda yeye na mwanae just have faith umepata mke mwema, na sio kwamba single mom wote ni wema, wengine wamebeba visas, wengine wapo kipesa zaidi. Mchunguze mtajua. Ila sisi ni watu wazuri tu wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.