Recent content by doreen njau

  1. D

    Ukipoteza zile care NHIF, utarabu wa kupata nyingine upoje?

    Yani kama wewe wategemezi wako ni Mke/Mume mama na baba - mama mkwe na baba mkwe na watoto basi ila kama zamani unaweza weka wadogo hakuna tena na ikipotea hupati tena
  2. D

    Ukipoteza zile care NHIF, utarabu wa kupata nyingine upoje?

    Asanteni sana kwa ushauri ila nimejaribu Nhif wanasema kama ulikua unamtegemea ndugu (kaka ama dada ) ile zamani waliuokua wanaruhusu kumuweka ndugu now hakuna kama ukipoteza ni basi [emoji24]
  3. D

    Ukipoteza zile care NHIF, utarabu wa kupata nyingine upoje?

    Samahani Mkuu nilikua namaanisha Card - pia kuhusiana na kama ni kaka ndiye alikuingiza kama tegemezi kutakua na shida yoyote ? Natanguliza shukrani
  4. D

    Ukipoteza zile care NHIF, utarabu wa kupata nyingine upoje?

    Habari Wadau Samahani kwa anayefahamu ukipoteza zile CARD za Nhif zile za zamani ambazo kaka alikuweka kuna uwezekano wakuipata kama Upo taratibu zipoje Natanguliza shukrani sana [emoji120]
Back
Top Bottom