Sasa hivi kuna jitihada kubwa ya serikali kuhama from physical medical records kwenda digital medical records hii itatengeneza data repository kubwa ambayo mofumo ya AI inawaze kutumika kuchambua ilikugundua mapema magonjwa, kufanya mashauriano ya mbali na kuleta tiba zitakazo mlenga mgonjwa...
Karatasi ya Dhana(Concept paper): Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania
1. Utangulizi
Sekta ya afya nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na upatikanaji mdogo wa huduma za afya bora, rasilimali chache za matibabu, na upungufu wa wataalamu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.