Kwa wale wnye kukaa mtandaon kubishana, kutukana na kueneza hate...
SIUZI DAWA, WALA SI RECOMMEND HOSPITAL YEYOTE, na usije inbox kama unaulizia dawa.
Kama ni issues zaid ya hapo I don't give a damn.
Kwa wale walionitabiria kifo miez sita iliopita, ...wakachnje mbuzi au ng'ombe kabisa waenjoy...
Cost kubwa ni vipimo, maana at first nilikuwa natibiwa kama ugonjwa sugu WA zinaa, so ili wataalam waconfirm Kua ni ugonjwa sugu wanahitaji vipimo vingi Sana Ku rule out ugonjwa WA zinaa ambao ni sugu..
So; nilipima;
Blood sugar 3times normal
Urinalysis 10times normal
Uroflowmetry once normal...
Mwanamke Hana prostate, isipokua kama bacteria wataspread kwenywe mfumo wake WA uzazi atapata PID ambayo nayo treatment zake zinachukua muda..
Na Kwa some Urologists Specialist wanasema tatizo ni reinfection na sio usugu WA ugonjwa.
Uyu dem yeye alipona baada ya just single Ceftriaxone...
Narudia watu WA this country ni very Rudy and stupid. Wao wanachojua ni ukiumwa inabid unywe dawa then after 3 days uwe umepona...
Ikitokea hujapona basi wataanza kuamini ushirikina na msemo huu niliokutana nao kitaa "zinaa sugu" ambayo watakwambia haitiibiki.
Chakushangaza Zaid hata baadhi ya...
Kwa maisha ukikutana na mfcz kama hawa wako so filled with anger issues hata Kwa watu wasiowajua... It's very funny... Nimepona now, it's six months now baada ya matibabu kuisha nimepona.. keep spreading your negative attitudes to others yo pu55y ni55er
First line Fluoroquinolones
Second line Tetracyclines
Third line Macrolides
Mim nimetumia 1st na 2nd line Hali iko poa, kama Hali ikiwa mbaya utapewa 3rd line
Ila dawa izo Fluoroquinolones zinazngua Sana after 3 months dosage.
Kwa asilimia kubwa nimepona, Ila kuna maumivu Fulani ivi yanakuepo tofauti na mara ya Kwanza, ni kama unakidnda afu unakitonesha kind of maumivu,
Pia hii chronic prostatitis huathir phycology so sometimes unakuta unajihis huko Sawa Iakin ukipima unakuta hamna kitu.
But kila muda unavoenda Nazid...
Ni kweli, Ila treatment nilifanya makosa mwanzo Kwa kuto kuwaona urology specialist mapema, so awa ma GP wao Wana treat clinical picture. Ndio maana unaona dawa kila Aina apo.
But for Chronic Bacterial Prostatitis ambayo ndio currently diagnosed kwangu ni very tricky treatment zake. Dawa ni...
5th week on antibiotics treatment naona kuna improvement kubwa japo kuna siku unaweza kuwa vibaya...
Dawa sahihi zipo Kwa kila ugonjwa shida MTU unaumwa unapewa dawa ambazo sizo zinapelekea bacteria kuwa sugu, janga nalo hili.
Ushauri; Kwa mwanaume kama utaona unakunywa antibiotics za kila...
Thanks Dr Kwa Ushauri wako, nahisi pale agakhan walisema ni prostatitis kutokana kwamba antibiotics nilizopewa zilkua sahihi kabisa Kwa gono, na ilitakiwa niwe nimepona, Ila kutokana na kwamba wadudu wengine waliingia kwenywe prostate dawa nilizopewa hazipenyi kirahis na hivyo ndio ikawa...
Thanks Sana, wataalamu WA urology WA pale agakhan ocean road... Dr Mawalla, na Dr Zahr wako vizur Sana... Kesi yangu wameniambia ishakwisha Nile Sana, maji mengi nimalize na Dozi afu niludi tena hospital
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.