Nabet, huyu atakuwa anatokea kwenye lile kabila.😆😆
Utofauti uko hapa:
Kama hukuwahi pata supplementary, carry, sijui repeat, retake, reboot, na vitu kama hivyo, Cheti chako kinaandikwa "graduate with honor" vinginevyo kinaandikwa jina la program yako kama kawaida. Kama Mkuu kwenye Cheti chako...
Sidhani kama kufeli kwa form six wa zamani na kufaulu wachache sana ni sifa njema. Kuna factors nyingi zilizopelekea wengi kufeli kipindi hicho. Mimi nitataja chache hapa:
1. Ukosefu wa materials za kutosha (Chand zenyewe ulikuwa unakuta ipo Moja darasa zima, waalimu wa tuition wachache...
Wakuu habari zenu,
Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million.
Asanteni sana wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.