Kiongozi tusaidie process nzima za kuanza kununua Hisa from point 0.. ni kwamba tunatafuta hao mawakala au tunaenda kwenye kampuni ndio wanatudirect kwa mawakala? ama tunatafuta wanauza hizo hisa? Na kipi bora kati ya kununua hisa kwenye Kampuni au kwa mtu aneuza? msaada mkuu...
Kiongozi umenena jambo zuri sana mi pia Niko interested na ulimaji wa viazi vitamu naitaji kufahamu kama Dar inawezekana kulima, mi Nina kiwanja huko kigamboni heka kama 3, 4 hivi sehemu inaitwa Mwongozo. Naomba kujua msimu wa kulima au Ni wakati wote na vipi kuhusu kilimo cha umwagiliaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.