Recent content by Donil

  1. D

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanafunzi 200 waliokosa mkopo waandamana hadi studio za ITV

    vyombo vya habari vina mchango muhimu sana kwenye jamii,na vinafikisha ujumbe kwa jamii kubwa tofauti na unapoenda wizarani
  2. D

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanafunzi 200 waliokosa mkopo waandamana hadi studio za ITV

    mm niko Civil engineering SAUT nimenyimwa mkopo, vigezo vyote nnavyo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanafunzi 200 waliokosa mkopo waandamana hadi studio za ITV

    mm niko Civil engineering nimenyimwa mkopo, vigezo vyote nnavyo
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuna rushwa TCU?

    mpaka leo hawajapeleka baadhi ya admission za watu wa diploma bodi ya mikopo,..
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuna rushwa TCU?

    TCU wanatutesa sana especially sisi watu wa diploma
  6. D

    JamiiForums Tanzania TCU hivi kweli mpaka leo hamjapeleka admission zetu HESLB?

    leo tar 21/10 taarifa iliyopo ni kwamba TCU hawajapeleka baadhi ya admission zilizotoka Nacte heslb, wenye ofisi zao hao
  7. D

    JamiiForums Tanzania Majina HESLB yaongezwa

    uwezo wako wa kufikiria ni mdogo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Loan allocations

    mm pia bado haioneshi kama nimepata au nimekosa S1835.0031.2008
  9. D

    JamiiForums Tanzania Majina HESLB yaongezwa

    ukiona haioneshi kitu fahamu ya kwamba taarifa zako za admission hazijafika heslb
  10. D

    JamiiForums Tanzania NACTE na TCU wanaitaji ushauri wako

    nilipotoka heslb moja kwa moja nimeenda mpaka NACTE, NACTE wanadai kwamba majina walishayatuma TCU tatzo ni TCU ndo hawajayatuma heslb. Watu wa TCU walipotafutwa hawakupatikanana simu zao zilikuwa hazipokelewi, kwa hiyo NACTE Wanadai tuwe wavumilivu maana kuna fungu la hela kwa ajili ya watu wa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania NACTE na TCU wanaitaji ushauri wako

    Taarifa niliyopewa leo na heslb juu ya wale wote ambao hawajapata taarifa juu ya mkopo kwamba wamekosa au wamepata, yaan akaunti zao hazidisplay taarifa yoyote ni kwamba admission zao hazijafika heslb kutoka NACTE, na inshu hapa ni kwamba NACTE wanadahili diploma holders lakini baada ya udahili...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa diploma tushauriane kuhusu HELSB

    chuo gan kaka umeenda,.. zaidi ya maji na Sua
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa diploma tushauriane kuhusu HELSB

    hapa hata cjui nitaendaje chuo
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wale wa diploma tushauriane kuhusu HELSB

    Jamani sisi tuliopitia vyuo vya kati(diploma holders) karibia wote tumekosa mikopo ya kusoma elimu ya juu 2014/15 na wengi wetu tuliapply program zenye kipaumbele(priority) kama vile engineering na ualimu lakn hatuna mikopo, sasa je sisi wa diploma tunachukuliwaje??? au bodi ya mikopo na Nacte...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    vp kuhusu SAUT wakuu
Back
Top Bottom