Recent content by Dong Jin

  1. Dong Jin

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Ahsante sana kaka nitalifanyia kazi na ndo maana nikaomba ushauri najua kuna madini mengi humu nitayapata hata ambayo sikuwa nayo
  2. Dong Jin

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Ni kama sijakupata vizuri lakini ahsante kwa mchango wako... Pengine nikitulia nitakuelewa
  3. Dong Jin

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Okay kwahiyo ni ya uhakika? Maana nimeona hata baadhi ya nyuzi wameiongelea
  4. Dong Jin

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    We kiazi kweli... Kuna mtu huwa anaenda migodini akiwa ana uhakika kuwa anaenda kukutana na bilioni moja? Wengi wetu kule tunajitafuta na ndo maana nikasema zali liliniangukia. Learn how to read between the lines fala we. 😂
  5. Dong Jin

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Machimbo mzee, na sio rahisi km unavyofikiri... Ndo maana nimeamua kuacha nifanye mishe nyingine
  6. Dong Jin

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Nahitaji kuijua vizuri hii... Nayo wanatoa faida ya kila mwezi km hiyo UTT aliyoizungumzia member mmoja hapo juu?
Back
Top Bottom