Recent content by Dona wa baba...

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumbe hawa meridian ugonjwa wao wa network nzito bado hawajapona[emoji848][emoji848] Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo ya kuuza

    Wanaonunua Songea kule ni chini ya hapo japo tofauti sio kubwa saaana ukiingiza ghrama za usafiri, ubebaji nk
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo ya kuuza

    Soko la Dar kwa bei ya jumla kwa sasa linatembea kwa bei za humo mkuu inatubidi twende kama soko linavyotaka
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo ya kuuza

    Karibu mkuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo ya kuuza

    Jina maharufu coz kuna njano ila yenye umbo la urefu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo ya kuuza

    Ahsante mkuu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo ya kuuza

    Standard ni Tsh 120/= ila tulichajiwa 140/= na hatukuwa na namna kwa sababu zilizokuwa nje uwezo wetu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo ya kuuza

    Habari ya mchana wakuu, nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo (goroli) kutoka Songea, gunia tatu ni maharage niliyovuna June 2021 na yaliyobakia nilivuna March 2021. Mali ipo tandale sokoni nauza kwa 1600 Nakaribisha kwa yeyote mwenye uhitaji au connection ya kuuza huo mzigo Contacts...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mbwa changamkia huyu

    . Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mbwa changamkia huyu

    Duuuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mbwa changamkia huyu

    Tehtehteh umetisha Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mbwa changamkia huyu

    Vaa miwani mkuu umuone vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mbwa changamkia huyu

    Hahahaha ni kweli ila kwa mbwa wa namna yoyote hata kama ni huyu mfugie nje ili pia afanye kazi yake ya ulinzi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mbwa changamkia huyu

    Mbwa ni mbwa tu boss wangu yategemea ni jinsi gani ulivyomlea Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom