hizi ni zile zile ainema zenu za kila siku mkuu hamna jipya,, kumsimamisha hàkutoshi muwajibisheni,,,,, na msiseme sjui uchunguz haujakamilika sjui nn kwan ishu ya rada nayo had leo hamjaimalza, au hamkujua AC amehusika....... acheni masinema nyie hamna jipya....