UFAHAMU UGONJWA WA VITILIGO
Vitiligo ni ugonjwa ambao unaathiri ngozi,unaotokana na kuharibiwa kwa cells za kutengeneza rangi ya ngozi zinazojulikana kama (melanocytes). Chanzo halisi cha celi hizi kushambuliwa bado hakijajulikana kitaalam, hivyo Wataalam Wengi kupata ugumu wa kujua tiba sahihi...