Recent content by Domitina johnson

  1. D

    Tech au unesi

    inaweza kuanzia lak 5 and above?
  2. D

    Tech au unesi

    mshahara unabase kwenye sh. Ngap?
  3. D

    Kuhusu Laboratory technology

    kwa ngazi ya certificate mshahara unaanzia shilingi ngapi?
  4. D

    Tech au unesi

    je na kati ya unesi na biomedical ipi ni nzuri kwa upande wa ajira?
  5. D

    Kuhusu Laboratory technology

    nikienda kusomea biomedical?
  6. D

    Tech au unesi

    nasikia haina degree,ni kweli
  7. D

    Tech au unesi

    kwanini ulisepa?
  8. D

    Tech au unesi

    arusha institute of technology na application form za dit zikitoka nita apply
  9. D

    Tech au unesi

    nashukuru sana kwa kunielewesha,nikifanya vizuri katika masomo yangu naweza kupata mkopo nikichukua degree ?
  10. D

    Tech au unesi

    nilikuwa na mpango wa kusoma twisheni ya pure maths ili nikienda tec nisisumbuke sana,je ni good idea?
  11. D

    Kuhusu Laboratory technology

    certificate ya unesi ni miaka mingapi
  12. D

    Tech au unesi

    kati ya laboratory technology,biomedical na diploma ya civil engineering ipi yenye future nzuri mbeleni kwa upande wa ajira?
  13. D

    Tech au unesi

    Nina 4 ya 26,physics na maths nina C,mengne yaliobaki ni D
  14. D

    Kuhusu Laboratory technology

    naweza kwenda tec nina 4 ya 26 nina maths na physics C yote yaliobaki D au niende unesi?
  15. D

    Msaada

    mpaka kufikia ukunga ni miaka mingapi?
Back
Top Bottom