Recent content by Doen Moen

  1. D

    Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Basi nivizuri uwatukane wote wanakaokuita shemeji maana neno shemeji ni tusi kumbe.Alafu kwakuwa umekurupuka hujasoma ukaelewa vizuri maana ya ujumbe unakimbilia kutukana.Unajiona muelewa tena mwanafalsafa.Ungeuliza, jiongeze wewe.My point kwamba Amina Abdalah(Meneja utawala) na Yacoub...
  2. D

    Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Wewe jidanganye nakuambia.Wewe si unajua matusi sana?Utakuja toa tafsiri ya tusi lako.Siongei sana! Nikutaka mimi nakupata maana humu unazani umejificha mwenyewe ndiyo maana unaleta matusi.Unajua kusoma ww wapi pana tusi nililoandika dhidi yako.Sasa wewe utaelewa nini maana ya matusi na gharama...
  3. D

    Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Mwambie Ritz naona shemeji yake Amina Abdalah yupo na mume wake Yacoub Kidula ktk sakata moja inamaana wote wapigaji au na yeye wa hukohuko nin njia ya kwenda......wap huku nimepasahau
  4. D

    Waziri Mkuu apiga marufuku matumizi ya Shisha nchini

    Ndugu yangu nazungumzia kizazi chetu kwa ujumla wewe unaona ni sawa Casino zilivyojazana mjini na hizo spots betting mpaka mtaani.Tafakari.....
  5. D

    Waziri Mkuu apiga marufuku matumizi ya Shisha nchini

    Mh Waziri Mkuu hongera sana kwa kupiga marufuku uvutaji wa shisha.Ila nilikuwa naomba na hizi CASINO mtazame upya japo tunapata pato la taifa kwa asilimia fulani ila uagize Wizara ya Habari,vijana, utamaduni na michezo zifute au watengeneze sera mpya ili zitengewe maeneo ya mbali ya mji kama...
  6. D

    Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    Watanzania wote mnatafsiri nzuri sana kihusu VAT na uelewa mkubwa sawa VAT hiyo hata kama utalipa mteja kwa tafsiri ya VAT inavyosomeka bado nikitu kilekile.Mfano wanchaji 1000 kama ada ya tozo ya huduma hiyo unalipa wewe mteja ikikatwa kodi ya ongezeko la thamani na bado tozo hiyo ikabaki 1000...
  7. D

    Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    Naona jamani msikilize vizuri kamishina anasema nini kuhusina na hiyo ongezo la thamani linavyotakiwa kukatwa.Ukisema mlaji unapokuwa unapata huduma wewe nimhusika wa hiyo tozo sasa wanakotoza wewe bank/tasisi za fedha ziingize zitoe asilimia 18 ya hiyo ada wazozikat iwakilishe TRA kwa...
  8. D

    Magufuli: Kuna mtu alikuwa anahamisha kati ya Tsh milioni 7-8 kila dakika. Yuko mikono salama...

    Wewe si mzima acha mambo ya kitoto.Hii mada haikufai.
  9. D

    Jeshi la Polisi lapewa siku 90 kuhakikisha mitambo ya LUGUMI inafanya kazi vituo vyote

    Upo s Upo sahihi kabisa hata mimi naumia sana tena sana.Ila ninasema na MUNGU aliye juu kama upo na unasikia tena MUNGU uliye hai natamka maneno haya kwamba fimbo ya MUNGU itawachapa wote waliohusika na wanaondelea kuhusika kibeba maovu haya.
  10. D

    Jeshi la Polisi lapewa siku 90 kuhakikisha mitambo ya LUGUMI inafanya kazi vituo vyote

    Wewe si mzima kabisa na huna akili timamu.Hijielewi kabisa. Na wala si mzalendo wewe inawezekana siyo raia watanzania.Tena kauli yako ni mbaya.
  11. D

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Hiyo sababu ya Raisi kumteua Pole pole.Huo ni ujinga kuongea hivyo mnapandikiza chuki za kikijinga.Chunga kauli zenu wote mnaoleta ushabiki wa vyama iwe ni changu au chako.
  12. D

    Polisi Watakiwa kuwasilisha Mikataba ya ujenzi eneo la Kunduchi, Mikocheni na Oysterbay jijini Dar

    Hiyo barua mbona haina sahihi ya mhusika.Mleta habari atuhakikishie hiyo habari.Maana hiyo barua haitaji kuwa wazi kwa vyo vya habari.Kwa kifupi kama nikweli ni katibu mkuu amefanya hivyo anakiwa hajibishwe kwa kuvujisha siri za ofisi.Maana jeshi la polisi lipo chini yake Katibu mkuu kama...
  13. D

    Waziri Mkuu: Sukari haitakuwa tatizo Ramadhani

    Serikali hiyo sukari imewapa vibali walewale wafanyabishara wasiyopenda kulipa kodi na ndiyo wale wale waliotengeneza shortage.Hivi kweli Raisi ndani ya mwezi mmoja tu alipotangaza sukari isiagizwe tena nnje ya nnnchi ndiyo gafla sukari imehadimika kweli?Siyo kweli hapa ni kwamba sasa...
Back
Top Bottom