Recent content by Dodoma messengers

  1. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Tuendelee kuepuka gharama za muda na pesa zinazoweza kuepukika kwa mambo yasiyokuhitaji wewe uliye mbali na Dodoma kuwepo maeneo ya kupatiwa huduma na hata uliyepo Dodoma ila umetingwa na shughuli mbalimbali.Tuwasiliane kama wafanyavyo wenzako kwa 0765920855.
  2. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Kwa wewe unayehitaji kuchukuliwa hati ya matokeo(Transcript) NACTEVET,unatakiwa uandike barua ya utambulisho kwenda NACTEVET,uambatanishe na nakala ya kitambulisho chako cha taifa,kama huna weka nakala ya cheti cha taaluma cha kitado cha nne,hapo utakua umekidhi vigezo na hivyo kusaidiwa...
  3. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Kwenye hilo,tafuta mbadala .... siwezi😁😁😁
  4. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Nakushauri ukafanye mwenyewe. Bilashaka ni kosakisheria kumfanyia mtu mtihani uwe ni practical oriented au vice versa.
  5. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Hapana mkuu,sina hiyo koneksheni
  6. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Epuka gharama zinazoweza kuepukika.Fanya mawasiliano kwa njia ya kupiga au hata WhatsApp,kwa namba 0765920855 uhudumiwe kama wengi wanavyohudumiwa,kwa mambo kadha wa kadha yasiyowalazimu wao kuwepo maeneo ya kupatiwa huduma.
  7. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Hata wewe unayetaka kutuma barua kutoka huko uliko,fanya mawasiliano upewe maelekezo, itapokelewa na itafikishwa eneo husika kama ina changamoto utaambiwa urekebishe nini kulingana na majibu yatakayotolewa na wapokeaji wa sehemu itakatayopokelewa barua husika,hivyo wewe kuambiwa na kufanya...
  8. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Kwa wale ambao wanaagiza wafanyiwe approval ya enrollment registration na licence approval MCT,wahakikishe wame-attach vitu vifuatavyo kwa ukamilifu: 1.Award Verification Number 2.Birth certificate 3.Curiculum Vitae(CV) 4.Professional certificate 5.Secondary school certificate na 6.Picha ya...
  9. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Kwa wewe ambaye unahitaji kuchukuliwa transcript NACTEVET unatakiwa uandike barua ya utambulisho wa anayekuchukulia ikiwa na anwani yako na anwani ya NACTEVET,ikiwa na taarifa kama namba yake ya kitambulisho cha taifa,sababu ya wewe kuagiza kuchukuliwe na kiambatanisho kama kitambulisho chako...
  10. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Shughuli mbalimbali bado zinapokelewa ilhali nyingine zinakamilishwa.Wasiliana na Dodoma messengers kwa +255765920855 tutatue matatizo pamoja kama wenzako wengi. Epuka gharama za muda na pesa.
  11. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Kama una mwanao ana cheti kama hiki,karibu usaidiwe namna ya kukibadilisha apate cheti kipya kama hicho kingine chenye rangi ya maziwa,kinachosoma kwenye mfumo,kwaajili ya matumizi ya sasa na ya baadae kama ukataji wa bima yake,kusajiliwa shule n.k. Fanya mawasiliano kwa 0765920855 kama wenzako
  12. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    📌 HUDUMA HIZI WAWEZA KUSAIDIWA KUZIPATA PASIPO KULAZIMIKA KUFIKA OFISI ZINAZOZOTOA HIZO HUDUMA KWA NYAKATI ZA MWANZO 📄 GHARAMA ZA VYETI (MALIPO YA SERIKALI KWA CONTROL NUMBER) 1. Cheti kipya (miaka 10+) – 20,000/= 2. Cheti kwa mtoto (umri 0-9) – 8,000/= 3. Kubadilisha cheti cha zamani kuwa...
  13. Dodoma messengers

  14. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Kwa wewe mhitaji wa leseni namaanisha kwa madaktari,taarifa iliyopo ni kwamba shughuli zote zinafanywa online,ambapo ukimaliza kujaza taarifa hitajika,utagenerate control number,na kisha utalipia na kuprint leseni yako.Hakikisha kwa wewe unaye-renew una CPD zinazohitajika. Wale wanaochukua...
  15. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Kwa wewe mhitaji WA cheti cha kifo,unatakiwa uwe na viambatanisho vifautavyo Ili uweze kuombewa cheti husika: 1.Muhtasari wa kikao cha familia 2.Barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji 3.Kiatambulisho cha marehemu 4.Kibali cha mazishi 5.Cheti cha kuzaliwa(kama ni mtoto wa marehemu) au...
Back
Top Bottom