Recent content by dodoma king

  1. dodoma king

    Hivi kwanini tunakula chakula usiku?

    Si unakuwa umelal a kwahiyo hauhisi njaa
  2. dodoma king

    Hivi kwanini tunakula chakula usiku?

    Hivi Ni kwanini tunakula chakula usiku licha ya baada ya kula tunaenda kulala Kuna umuhimu wa kula chakula usiku kweli?.unakula chakula then unaenda kulala na usiku hakuna shughuli yoyote inayokufanya uhisi njaa NB:kwa sisi ambao hatukeshi tunakula msosi then tunalala
  3. dodoma king

    Haya ndio makabila matatu yanayoongoza kwa kiburi na dharau

    Pesa ndiyo kila kitu Mahali popote pale
  4. dodoma king

    Haya ndio makabila matatu yanayoongoza kwa kiburi na dharau

    Kabila lako limeshika nafasi ya pili
  5. dodoma king

    Hivi huu utamaduni wa mgeni akija kusalimia, akiondoka lazima awape watoto hela ulianzia wapi?

    Acha ku comment ujinga nikianza kudili na wewe utaacha ndala mkuu
  6. dodoma king

    Hivi huu utamaduni wa mgeni akija kusalimia, akiondoka lazima awape watoto hela ulianzia wapi?

    Hayo Ni malezi mazuri yaani wazazi wa zamani swala la malezi lilikuwa Jambo jepesi kwao
Back
Top Bottom