Samahani wakubwa, nahitaji kujiunga na masomo ya elimu ya juu na tayari nimepata chuo kikuu cha dodoma,, uwezo wangu kimaisha ni mdogo sana kumudu masomo hayo. Mwenye kufahamu naomba anishauri namna ya kupata sponsor hapa Tanzania ili niweze kusoma katika chuo hiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.