Miili yetu iko tofauti sana. Huyu anaweza akatumia vitu vibaya vikamdhuru sana lakini mwingine akatumia hivyo hivyo na wala visimletee shida. Cha muhimu zingatia mtindo mzuri wa kuishi kadri inavyowezekana kulingana na uelewa wako utakuwa sawa.
Mfano kwa matatizo ya nguvu za kiume kati ya watu...
FAIDA ZA KITUNGUU SAUMU KWA MWANAUME NA JINSI YA KUTUMIA
Kitunguu saumu kina allicin, kiambato kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.
Sifa kuu za kitunguu saumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.