Recent content by Doctor Mama Amon

  1. Doctor Mama Amon

    Swali Kwa Jasusi Butiku Kuhusu Mduara wa Serikali Haramu Kupitia Chaguzi Bandia Tangu 1995: Tangu Lini Kesi ya Nyani Ikaamuliwa na Ngedere kwa Haki?

    https://youtu.be/1J1k-Bpi9Vc SWALI KWA JASUSI BUTIKU: TUNAWEZAJE KUPATA NGUVU YA KUVUNJA DUARA LA UHARAMU, UKATILI NA UDHAIFU WA SERIKALI UTOKANAO NA CHAGUZI BATILI MWAKA HADI MWAKA? Taasisi ya Mwalimu Nyerere ni shirika huru lisilo la kiserikali la Tanzania lililoanzishwa mwaka wa 1996 ili...
  2. Doctor Mama Amon

    Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    THE BIG SHOW, Salama? Umeandika mengi. Lakini Padre Kitima Yuko sahihi kwa sababu ifuatayo: 1. Kila kiongozi wa dini hapa Tanzania anayo haki ya kutetea haki za waumini wake Kwa kupinga ukatili unaofanywa na mtu yeyote dhidi yao, ukiwemo ukatili wa serikali. 2. Kuna waumini wa Padre Kitima...
  3. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Kikwete: Tutamalizaje changamoto za 2025 wakati serikali haitofautishi kati ya 'coercive peace' dhidi ya 'consensual peace' kabisa?

    Hello, Naelewa kuwa JK ndio mshauri Mkuu wa SSH, na kuwa Kwa sababu hiyo anazo hisa nyingi ktk lawama zunazoekekezwa Kwa Samia. Lkn sijaelewa kauli yako kuwa " maneno yakimpaka mafuta unajidhalilisha tu mkuu" Ufafanuzi plz
  4. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Kikwete: Tutamalizaje changamoto za 2025 wakati serikali haitofautishi kati ya 'coercive peace' dhidi ya 'consensual peace' kabisa?

    Duh! Naona JokaKuu unajua mengi. Kama ni hivyo, Vipi kuhusu hivyo vyeo vya Uluteni wa Kikanali? Vilitoka wapi?
  5. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Kikwete: Tutamalizaje changamoto za 2025 wakati serikali haitofautishi kati ya 'coercive peace' dhidi ya 'consensual peace' kabisa?

    Wote uliowataja walikuwa Military Intelligence Officers (MIOs). Kwa hiyo wanalijua jeshi Kwa ufasaha, hata kama wanaegemea zaidi kwenye Nadharia kuliko vitendo. Kumbuka kitu tunaita PRAXIS CYCLE. Yaani, plan, act, review. Hivyo Nadharia na vitendo haviachani sana.
  6. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Kikwete: Tutamalizaje changamoto za 2025 wakati serikali haitofautishi kati ya 'coercive peace' dhidi ya 'consensual peace' kabisa?

    SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA? Mpendwa Jakaya Kikwete, Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tangu 21 Desemba 2005 hadi 5 Novemba 2015. Nakuandikia tena...
  7. Doctor Mama Amon

    PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    TANGU LINI MWIZI AKAWA NA UHALALI WA KUTUNZA MALI ALIYOIBA? Mwizi wa madaraka ni sawa na mwizi wa mali. Wote ni "possessors" lakini sio "owners". The key difference is that an owner holds the legal title and full rights to a property, while a possessor has physical control or custody of the...
  8. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Rais Samia: Matamko Gani ya TEC yalivuka ukuta wa kikatiba unaopaswa kutenganisha mambo ya kidini na mambo ya kisiasa?

    Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
  9. Doctor Mama Amon

    PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    Utafiti wangu unaonyesha kuwa, amri ya kupiga risasi ya kifo ilitolewa nchi nzima baada ya waandamanaji wa maeneo ya KImara kuonekana wamebeba bango la hayati Magufuli. Tafsiri ya wakubwa ikawa kwamba hawa wanataka kufanya mapinduzi kwa kutumia gia ya Chifu Hangaya Mkuu, mwenye wafuasi wengi...
  10. Doctor Mama Amon

    PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    TAKING STOCK OF ZANZIBAR HISTORY The statement which you assert and which I deny is that, “Zanzibar was never colonized”. So the disputed question is: “Was Zanzibar ever colonized, if yes, by who and when?” My answer is in the affirmative as follows. Zanzibar was colonized, first by the...
  11. Doctor Mama Amon

    PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    UMEANDIKA HIVI: Yale hayakuwa maandamano [ya amani] katika uhalisia wake. Yanaitwa maandamano [ya amani] na kina Larry Madowo wanaofanya kazi ya kuhabarisha mabwana zao wa CNN. Hakuna maandamano [ya amani] ambayo vituo vya mafuta vinachomwa moto kwa mamia. Hakuna maandamano [ya amani] ambayo...
  12. Doctor Mama Amon

    PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    UFAFANUZI: JWTZ HAWAKUUA WAANDAMANAJI KATIKA WIKI YA UCHAGUZI NA UHALALI WA SAMIA UNAFAHAMIKA KWA WAKUU WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA ZAIDI KULIKO KUFAHAMIKA KWA RAIA Nataka usome hoja yangu vizuri na usinilishe maneno. Tofauti na watu baki wanavyofikiria, mie najua fika kuwa mauaji...
Back
Top Bottom