Recent content by Doct

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani inatoa miwani kupitia bima ya afya ya NHIF?

    Amana, regency.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani inatoa miwani kupitia bima ya afya ya NHIF?

    Kama wewe ndio mwanachama wa mfuko wa bima then membership number yako inaanzia na 01- wewe ndio principal member.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani inatoa miwani kupitia bima ya afya ya NHIF?

    Kwa policy ya NHIF miwani anapata principal member tu na ni miwani ya kusomea yenye thamani ya 20,000 tu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ni kipi chakula bora cha mbwa?

    Saga mahindi debe moja then changanya na original super dog food mfuko mmoja wa kg 5 halafu pika kama uji + nusu kilo ya malapulapu ya nyama na mifupa ambayo ni 500 tu atleast mara 4 kwa wiki, mbwa wako atakuwa na afya bora kabisa.
Back
Top Bottom