Recent content by DnS8elpmis

  1. D

    Ukweli Mtupu

    Ukweli ni kwamba Hakuna kisicho wezekana, Ukweli ni kwamba, Kila mbuzi, atakula kwa urefu, Wa kamba yake. Ukweli ni kwamba, Asiyesikia la mkuu, Huvunjika guu, Ukweli ni kwamba mabadiliko, Daima hukutana na upinzani. Ukweli ni kwamba, Ng'ombe wa maskini hazai, Ukweli ni kwamba, Umaskini ni tabia...
  2. D

    SoC02 Maandalizi yako, mafanikio yako

    MAANDALIZI YAKO; MAFANIKIO YAKO Maisha ni mnyororo wa matukio. La leo litazaa la kesho, na la kesho litazaa kesho kutwa yake, hadi mwisho. Japokua sisi tunapita tu, maandalizi yanaweza tupatia mafanikio na maisha ya milele katika kumbukumbu za vizazi na vizazi. Maandalizi ni mchakato wa...
  3. D

    SoC02 Uchumi: Siri ya mafanikio ya kudumu

    Siri ya Mafanikio ya Kudumu Maisha ni vita. Hasa wakati uchumi ndio hoja kuu. Hivyo ni muhimu kuwa na nyenzo za ushindi. Nyenzo kuu itakayo kupa nafasi ya kupata ushindi, tena wa kudumu, ni kujitambua. Mapambano ya maisha ni endelevu na yenye kubadilika mara kwa mara. Kwa wale wanao jitambua...
Back
Top Bottom