Aliondoka Ronaldo pale man u sembuse ajibu, kwani nyinyi mlitaka akitoka simba aende WAP? Ile ni kazi yake yuko tayar kufanya kaz na club yoyte na cyo yanga na simba tu, hebu mashabiki tufike mahala na sis tuwe waelewa kidogo basi, Simba nguvu moja.
Tusidanganyane bwana, wachezaji wote waliosajiliwa na simba wamepostiwa kwenye app ya simba kwahyo ukiona simba hawajapost kwenye app yao ujue hawajamsajili yeyote, viva simba nguvu moja, alafu viongozi msitufanye sisi mashabiki wa simba tuonekane mbumbumbu jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.