Recent content by Dmx 180

  1. Dmx 180

    JamiiForums Mfumo wa Maombi Chuo Kikuu unanikataa kwa sababu nilishawahi kuchaguliwa, nafanyaje kutatua?

    Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilihitimu Form Six 2017 ila sikwenda chuo japo nilichaguliwa sasa mwaka huu nilipofanya applications system zinanikataa zinasema tayari nishakuwa admitted kwenye vyuo zaid ya vitatu, nifanyeje kulitatua hili?
Back
Top Bottom