Ni kweli kabisa. Japo pia, kuna waaminifu. Mimi nikigundua mfanyakazi ana uswahili nafukuza hapo hapo. Nimegundua waaminifu wapo, lakini inabidi kuwatafuta na pia NI MUHIMU KUMJALI SANA ILI AONE KWAMBA ANAHESHIMIKA NA ANAPENDWA NA ANAJALIWA NA BOSS WAKE. Na atafanya kazi kwa moyo na uaminifu.
Kuna tofauti kati ya self-employment na creating a business. Kama ni biashara, manake inabidi uajiri mt wa kubeba hayo magunia. Wewe kazi yako ni kutafuta clients, kutafuta supplier mwente mkaa mzuri wa bei nzuri, na kuhakikisha operations zinaleta faida nzuri. Lakini ukiongelea wewe kwenda...
Wazo ni muhimu sana na ubunifu (creativity ni muhimu sana) lakini bado unahitaji capital ya kugeuza wazo ili liwe investment nzuri. Hapo ndio mimi na wewe hatuelewani. Najua vitabu vingi vinakuambia hivyo.. sasa watu wangapi wenye mawazo na ubunifu wamefanikiwa bila mtaji? NAOMBA UNIPE MIFANO...
Kweli kabisa kaka. Ni muhimu at least kupata mtu mwenye uelewa wa hali ya juu ndio akufanyie kazi. Mfano kama bajaji, ni muhimu kupata dereva kwanza ambaye ni mchapa kazi sana, pili ambaye ni mwaminifu sana, na tatu ambaye haweki hela mbele. Shida kijana wa namna hiyo ni vigumu. Wengi ni...
Very good points brother. Kweli kwa Tanzania kuwa na partner in joint venture inakuwa shida sababu watu wengi sio waaminifu. Business partner anakuangusha badala ya kukuinua mfanikiwe pamoja. Na hata wafanyakazi pia ni wezi wezi wengine na hapo ndio inabidi uwe mkorofi sometimes kama unavyosema...
Elimu ni nzuri, lakini ili ikutajirishe sana ni kuitumia kuanzisha biashara fulani. Na biashara Iwe ni aina ya biashara ambayo inaweza kukua na kukua na kukua na kukua.
RIP Mengi. Tanzania inahitaji matajiri wakubwa wa kiafrika ambao ni self-made kama Mengi. In USD, Mengi's wealth ilikuwa half a billion dollars hivi. The fact kwamba hakuna watz weusi wazawa ambao wana wealth wa half billion USD au zaidi, inaonyesha ugumu wa kufanikiwa sana katika ujasiriamali...
Is very upsetting when a person just tries to share his experiences and knowledge with others, and then someone like you spoil it all with derogatory comments. Jf needs to get a handle at these situations because they are chasing away a lot of knowledgeable people like me who don't want to deal...
You are stupid dude. Get a life! We are trying to help each other here, then you come to spoil it with your stupid and unfounded comment. Take that crappy shit somewhere else. You fool!
Wanawake asilimia kubwa hasa warembo tunaowapenda ni mizinguo leo. Mimi naona katika ujasiriamali kama mtu haujaoa, basi kaa hivyo hivyi kwanza. Pambana ufanikiwe ndio uoe. Na hata hapo, itakuwa ni kazi pia. Kwa ujumla NI MUHIMU KUPATA MSICHANA MWENYE MALENGO KAMA YAKO, MWENYE AKILI KAMA ZAKO...
Kabisa. Personally kujenga majengo ya biashara kulisaidia sana. Ni baada ya kunyanyaswa na mtu mara ya kwanza. In business inaitwa vertical integration. Personally nafanya tours, nimejenga lodge na ofisi binafsi. Magari nilianza kukodi, nikanyanyaswa pia. Sasa nina magari machache binafsi na...
Ukifukuzwa kazi.. sio kwamba utalisha familia maneno au hewa. Utatafuta hela kwa hali na mali ya kulisha familia. Na itakuwa ni mbinde kubwa.
Sasa NI KWA NINI USIJIANDAE KABISA BADALA YA KUSUBIRI HIYO MBINDE IJE? Ni kwa nini usiweke mambo sawa kimtaji ili kupunguza hayo matatizo? Kuacha tu kazi...
Mkuu USIDANGANYIKE.. Bila ya mtaji, hauna biashara. Narudia.. USIDANGANYIKE. Hata kama hauna hela yako binafsi, lazima uipate benki, kwa ndugu n.k. Fikiria hili.. unaanzisha biashara na tayari una wapinzani ambao wana biashara kama yako inaendelea.. kuna njia gani ya kuboresha huduma au bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.