nawashukuru wote walioanzisha forum hii.waganga wa siku hizi ni wa urongo na huwadanganya watu na kuwatapeli pesa yao.rafiki yangu alionyeswa hela mingi ndani ya box na mganga alimshauri alete shilingi laki nne ya kenya ili apooze nayo hiyo hela alafu baadaye huyo mganga ampe hela hiyo yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.