Recent content by DJ05

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Ahsante ndugu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Nashkuru sana mdau ahsante nitazingatiaaa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Ahsante mkuu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Ahsantee mkuu siko dar ndugu yangu yeah niliuguaa fungus nikaponaa ila harufu tu miguuni ndo imegomaa kuondoka Najarbu kilaa namnaa mkuu nakosa kujiamini kabisa mkuu ilaa naplan kwenda hospitali kwa matibabu zaidiii Kwa sasa navaa soks cotton na ukweli sitembei sanaa mda mwingi nakua ofisini tu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Thanx
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Lakini sidhani kama nimeandika chochote kibayaa.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Wadau naombeni ushauri nina ttzo la kunuka miguu wapendwa hata kama sijavaa viatu yaaan nakosa amani pale ninapofanyiaa kazi Nina socks sio chini ya pea kumi viatu kama pea sita hv nabadilisha frequently lakin haisaidiaaa nimejarbu matumizi ya powda na madawa mengine lakini sijaona matokea...
Back
Top Bottom