Recent content by Dizzm

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaehitaji kuolewa anahitajika

    Ntaweza kikubwa niridhike naye
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaehitaji kuolewa anahitajika

    Au cyo
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaehitaji kuolewa anahitajika

    Vigezo awe mrefu au wastani, mweupe wa asili au maji ya kunde. Umri chini ya miaka 25. Dini yoyote ile ila akubali kuolewa na mkristo. Elimu level yoyote ile ila aweze kutunza familia. SIFA ZANGU Umri miaka 29 Elimu Diploma Kazi nimejiajili Si mrefu wala si mfupi ni wa kati Maji ya kunde. Dini...
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti miaka 18-24 wa kuoa anahitajika.

    Zingatia umri hapo juu. Nahitaji mpenzi ambaye tukiendana tutaoana, sifa awe mweupe maana mm n maji ya kunde kwahyo tuchanganye rangi, awe mrefu au wastani. Awe tayari kupima afya, pia awe tayari kuishi mbeya maana ndipo nilipo. Zaidi njoo inbox tuyajenge kwa muhitaji kama mm.
Back
Top Bottom