Lzm watu wajue kama hiki chama (ccm) hakijafanya ki2 chochote cha maana ktk hii nchi na huu ni wakati wa mapinduzi. Tuwaunge mkono UKAWA ili nchi isonge mbele tuache kutawaliwa na wanaojiona kama WENYE NCHI. Tunahitaji changes na ccm can't give us changes
Huyu Magufuli inabidi ashitakiwe kwa yale madaraja yalioanguka sababu ya kujengwa vibaya, barabara zinajengwa vibaya kusababisha mauwaji ya maelfu ya watu kila mwaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.