Ebwana komaeni.. kama watatunga wenyewe itakuwa poa tuu... Sema ni technical .. sijui Kwa accounts inakuwaje... Ila nakushari SOMA Sana .. yaani SOMA sana... Jamaa wanalipa vizuri na wapo very very Fair ... na wanalipa poa Sana .. yaani sana... Ni life time chance... Maisha yenu yatabadirika...
kazi kweli.. yaani unaweza kusema haya ni majiribu .... kazi zinakuja kwa pamoja.. sasa unaweza kuchagua moja ukakosa ukaanza kulaani tuu.. Daaaah.. maisha haya..
Habarini ndugu zangu.
Mimi ni wa muda humu ila Nilipoteza Password na username, nikawa nasoma post na maoni tuu humu. Samahani kwa kutokuwa active humu!
Swala langu ni nimeitwa kwenye Interview mbili moja TIA- Tanzzania Institute of Accountancy na Nyingine ni TAFORI-Tanzania Forest Research...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.