Wakati vijana wengi tunakimbiza umri humu tukisema tutaoa mwakani lazima tujiulize tofauti ya demu na mke.Kama unaleta demu wako ndani kwako halafu chakula mnaagiza kilichopikwa na mwanamme mwenzio kama vile chipsi uyo msichana achana nae sio mke.Kuwa na mwanamke mnaeshindana kunywa bia hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.