Recent content by Director Kruzy

  1. Director Kruzy

    Kwa matokeo haya ya Kidato cha Sita naombeni ushauri wenu

    Samahan kama Kuna mtu ana knowledge ya kutosha kuhusu foundation course na system yao ya usomaji anielekeze
  2. Director Kruzy

    Kwa matokeo haya ya Kidato cha Sita naombeni ushauri wenu

    Samahan unaweza kunielezea kuhusu foundation course
  3. Director Kruzy

    Kwa matokeo haya ya Kidato cha Sita naombeni ushauri wenu

    Mm nimemaliza kidato Cha 6 mwaka 2022 kiuhalisia nimepataje matokeo mabaya yaan Division 3 ya 14 Combination EGM Economics D Geography E Mathematics E Ila na ndoto za kusoma Degree ya accounting ila kulinga na TCU siwez kusoma tena Naombeni ushauri wenu nirudie mtihani, niende diploma au...
Back
Top Bottom