Recent content by Dira sahihi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge acharuka, ahoji uwajibikaji wa halmashauri kwenye miradi ya PPPs

    Mbunge Sara Msafiri ameuliza swali la msingi sana. Kama kila halmashauri ilielekezwa kuandaa angalau miradi 3 ya PPP na kila mamlaka ya Serikali angalau mradi 1, utekelezaji wake uko wapi? Hatuwezi kuendelea kutegemea kodi, mikopo na bajeti ya Serikali kujenga kila kitu wakati sekta binafsi ina...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Salome Makamba: Maeneo yote ya vijijini na yale yenye sura ya vijiji wataunganisha umeme kwa TZS 27,000 maelekezo ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Hapana kuna maeneo yanaitwa ni mjini lakini kihalisia ni kijiji
  3. D

    JamiiForums Tanzania Salome Makamba: Maeneo yote ya vijijini na yale yenye sura ya vijiji wataunganisha umeme kwa TZS 27,000 maelekezo ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Serikali imesema itaendelea kuwaunganishia wananchi huduma ya umeme kwa gharama ya Shilingi 27,000 katika maeneo ya mijini yenye sura ya vijiji yanayokidhi vigezo vilivyowekwa. Kauli hiyo imetolewa leo, Oktoba 28, 2026, Bungeni, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kuhakikisha wananchi wengi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Watanzania wajipange kushika uchumi wao kupitia ubia na wawekezaji wa nje

    Anaweza kuwa kiongozi
  5. D

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Watanzania wajipange kushika uchumi wao kupitia ubia na wawekezaji wa nje

    Kafulila hapa anaangalia zaidi faida za uwekezaji wa nje, lakini hoja muhimu ni nani anamiliki sehemu kubwa ya uchumi baada ya uwekezaji huo kuingia? Haitoshi kusema Watanzania watanufaika kwa kusafirisha mizigo, kuuza chakula, kutoa malazi au huduma ndogo pembeni ya miradi mikubwa. Huo unaweza...
Back
Top Bottom