Uchaguzi wa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,huchaguliwa kila baada ya miaka mitano baada ya miaka hiyo hulazimika tena kurudi kwa wananchi na kuomba kura tena,mara nyingi maraisi wa Tanzania huongoza kwa mihula 2,ambayo ni sawa na miaka 10.mfano halisi ni maraisi waliopita waliweza...
Kwa miaka mingi kupita kwa hivi leo tunaita ni stori, kumbuka na rejea mwaka 1924 kulikuwa na watanzania nao waliishi kama wewe uishivyo hivi sasa mwaka 2024. Ni miaka 100 imepita tangu 1924, ni kizazi na vizazi vimepita na miaka hairudi nyuma inasonga mbele, kufikia mwaka 3024 basi fahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.