Recent content by Dinna 96

  1. Dinna 96

    Natafuta mchumba

    Habari zenu Wana JF. Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira. Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume. Karibu PM kwa mawasiliano...
Back
Top Bottom