Recent content by Dinam

  1. D

    JamiiForums Tanzania A divorced or single dad needed

    Bora umuelewesha hajasoma vizuri post may be kadivorce but kwa umri wake hapana
  2. D

    JamiiForums Tanzania A divorced or single dad needed

    Asante Happiness win kwa kumwelewesha nadhani kuna haja ya kutoa somo humu japo wasomi wapo wengi
  3. D

    JamiiForums Tanzania A divorced or single dad needed

    kwani kuna tatizo nikipata wa kumaliza nae? na mbona naona 42 ni mdogo kuna walio na 50 na bado wanataka sembuse mimi sioni kama kuna tatizo na hivyo sijamlenga mtu ni fulani so kama wewe hukidhi hilo achia wenzio
  4. D

    JamiiForums Tanzania A divorced or single dad needed

    Ndio maana niliweka umri kuanzia 44 - 50 wameshaedit ile miaka watu bwana
  5. D

    JamiiForums Tanzania A divorced or single dad needed

    10 yrs
  6. D

    JamiiForums Tanzania A divorced or single dad needed

    Salaams mimi ni single mother nina 42yrs kwa atakaesoma akaelewa na akaweza kumatch please you are welcome to start a new family, age awe between 44 hadi 50.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mume mwema

    Hio name nacheks
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mume mwema

    Usijali Fukunyungu ninaehitaji awe na umri kuanzia 40 na kuendelea awe mkristo pia itakuwa vyema
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mume mwema

    Asante mkiva kwa kuniombea mungu akuzidishie upendo
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mume mwema

    Ndo maana nimeleta hii post huna haja yakuuliza mbona bado
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mume mwema

    Nashindwa hata kujibu swali gumu. Kwani ina maana hakuna walio na umri zaidi yangu hawajaolewa? mbona wapo wengi tu ni muda tu mungu akikupa anakupa huna haja ya kulazimisha.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mume mwema

    Hodi tena kwa mara nyingine wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42 ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao mmoja ili tuanzishe familia awe hajaoa. Mimi ni mkristo mlutheri na, nimechoka kukaa peke yangu upweke umenichosha. Kwa aliye tayari...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mume mwema

    Ukiona hadi nimepost it means najiamini na niliyopost
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mume mwema

    kwani kuwa na mtoto ni dhambi?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mume mwema

    Nahitaji mume kuanzia 40 na kuendelea, mimi ni single mother nina mtoto mmoja naishi dsm mwenye kunipm tutawasiliana zaidi. Alie serious anipm mkristo kipaumbele zaidi na mcha mungu awe na kazi ili tuweze kusaidiana majukumu
Back
Top Bottom