Recent content by Dimitri Medvedev

  1. Dimitri Medvedev

    I had a second dream, nimeota tena tukichelewa tunaweza kuchukua miaka kuliponya Taifa

    Ni asubuhi tena iliojaa ndoto mithili ya uhalisia sijui kama naota au nilichokuwa naona ni uhalisia wa tukio bado najiuliza hadi asubuhi hii ya leo nimeota tena kuna kundi la watu vijana kwa wazee wa makamo wakiwa kwenye harakati nzito kana kwamba ni vurugu zilizo anza watu hawa hawasikii...
  2. Dimitri Medvedev

    I had a dream, nimeota ndoto

    Ikitumika hekima na busara kiongozi wangu, basi Tanzania itakuwa salama na watanzania watafikiria juu ya msamaha wa kweli
  3. Dimitri Medvedev

    I had a dream, nimeota ndoto

    Ule wakati umefika, ni wasaa wa kumuomba Mungu, maana hatujui nini kipo moyoni mwa watu hekima na busara zitumike
  4. Dimitri Medvedev

    I had a dream, nimeota ndoto

    sawa Smart911, naimani amani na upendo itatawala
  5. Dimitri Medvedev

    I had a dream, nimeota ndoto

    Ni usiku ulio gubikwa na ndoto, ndoto zilizo na matukio mengi mithilli ya maisha halisi zilinifanya nifikirie sana ila kuna hii ndoto ilichukua muda mpaka kufikiria ni nini nimeota au niliona kwa uhalisia? Nimeota ndoto, ndoto ya mtu aliye na majukumu mazito, yalio tokana na harakati fulani za...
Back
Top Bottom