Recent content by dikodiko

  1. D

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Mie nauza dagaa wa kukaangwa kutoka mwanza Wasio na mchanga Pakti sh 1000 Jumla pakti kuanzia 50 kila pakti sh 800 Ndoo ya lita 20 sh 60000 Nipo dsm 0714943735 Pia biashara hii kwa sasa inachangamoto sana Mfano kule mwaloni wamepandisha bei sana Pia kuna kodi ya ushuru Kibali cha maliasili si...
  2. D

    Biashara ya kuuza genge

    GENGE LA KISASA NAMAANISHA NAKIDI FREMU NZURI AMBAYO IPO SEHEMU NZURI NA BARABARANI NAWEKA MBOGAMBOGA HOHO KAROTI VITUNGUU NK NAWEKA MATUNDA MBALIMBALI DAWEKA DAGAA AINA MBALIMBALI BILA KUSAHAU KUWEKA UNGA MCHELE NA HATA SAMAKI WABICHI SATO NA SANGARA
  3. D

    Biashara ya kuuza genge

    Asante sana
  4. D

    Biashara ya kuuza genge

    Wakuu za muda huu naombeni ushauri wa jinsiya kuanzisha genge la kisasa ambalo nitaweka ndani ya fremu nataka kuuza mbogaamboga zote dagaa wa aina zote matunda mafuta ya kupikia nafaka zote na vinginevyo mwenye mchanganua wa biashara hii na bei naomba msaada
Back
Top Bottom