Recent content by Diesel

  1. D

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Kibonde ana tabia ya kikike kike!! Yee anadhani kuchonga sana kwenye Radio ndio kujua mambo?? Hii ndio athari za waandishi wasioenda shule , na kazi yao ni kununua vyeti tu!! Wee angalia hata mambo yake mengi anayofanya analysis hata mpira tu, au magazeti huwa anaongea upuuzi mwingi sana...
Back
Top Bottom