adau naomba mniwezeshe mwenzenu kwenye huu ulimwengu wa ujasiliamali. Ninauza Mbao za mninga na Mkongo mzigo umekuja juzi tu; wahi upate super!!! Bei zinatofautiana kutokana na size. Mbao zote zina urefu wa ft 10; 2x6 inaanzia 50,000/-; 2x8 inaanzia 70,000/-; 2x10 inaanzia 90,000/-. Karibu sana...
Wadau naomba mniwezeshe mwenzenu kwenye huu ulimwengu wa ujasiliamali. Ninauza Mbao za mninga na Mkongo mzigo umekuja juzi tu; wahi upate super!!! Bei zinatofautiana kutokana na size. Mbao zote zina urefu wa ft 10; 2x6 inaanzia 50,000/-; 2x8 inaanzia 70,000/-; 2x10 inaanzia 90,000/-. Karibu sana...
Mimi nimeweka jino la permanent pale Agakhan huu ni mwaka wa tano; huwezi kulijua mpaka nikwambie na sijawahi pata tatizo lolote lipo kama meno mengine ila gharama yale ilikua kama milioni mbili mwaka 2011 sasa hivi dola imepanda sina uhakika itakua kiasi gani.
Huwezi kutoa hizo details mpaka nijibu hayo maswali? Mbona mtoa mada ametupa details bila kuuliza tunataka kununua nini China. Naomba details za kuexport kama mtoa mada alivyotoa details za kuimport . Ndo mana dola inashuka kwa sababu za kukatishana tamaa; tusaidiane mawazo ya kuexport bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.