Recent content by didier kinuani

  1. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Nilijua tu kuna watu wanachangia bila kusoma Uzi Soma Uzi tena kaka
  2. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    This is the best advise so far, thanks chief
  3. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Si kweli mkuu tumesumbuana ttoka mwanzo sema ni mwanamke mjeuri tu
  4. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    No way am making arrangements for regime change
  5. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Kuna tofauti ya replacement na additional
  6. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Rudi kwenye Uzi usome kwa umakini then urudi tena hasa paragraphs za mwisho Amini tu kwamba kuna watu wana tabia hizo bila kukosewa I.e huyu wangu sijswahi kumkosea makosa makubwa kama uzinzi Mama wapo wanawake wenzenu hata ufanye kitu gani huwezi futa tabia aliyotoka nayo kwao Utapiga utafanya...
  7. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Kama umeoa miaka mingi na una uzoefu na ndoa huwezi kusema neno hili
  8. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Basi tuseme kila mwanaume hakuweka misingi maana karibu ndoa zote zina matatizo isipokua yanatofautiana tu
  9. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Unadhani kwa miaka Nane sijafanya hayo unayodai nifanye?
  10. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Sio upole mama yangu Mm ni gentleman nikiamua kuwa mkali nakua mkali hasa Nashusha na kipigo kizito haswa Sasa mama utapiga mtu kila Mara? Si utakjja kuua? Ndio maana mwisho Wa Uzi nimesema nafikiria kuachana nae Basically hakuna ushauri uliotoka hapa sijafanya
  11. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Kaka nafurahi umesoma between lines umeelewa washauri wengi wanadandia mada njiani hivyo unakuta MTU ana comment vitu hadi mtu unacheka mwenyewe
  12. D

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Duuu? ? Ingependeza kama ukinifafanulia vizuri You say I should be like a man Zaidi ya kupiga nimepiga au unataka Niue sasa? Ukiona nimekuja hapa ujue nimeshafanya yote uliyoshauri ww Pia nimefikia muafaka Wa kuachana nae kama tabia hii itaendelea so what else do you want my girl?
Back
Top Bottom