Recent content by Dickson 165

  1. D

    JamiiForums Tanzania Achukua rushwa ili Mwanafunzi asiende Shule

    Huyo mwalimu achukuliwe hatua stahiki maana kama ni njaa zake asituletee sisi wananchi bora afungue genge la kuuza mbogamboga atatoka kimaisha kuliko kutumia mbinu za kupata fedha kinyume na sheria. Afunguliwe mashtaka ili liwe fundisho kwa wengine.
Back
Top Bottom