Recent content by DiceKb

  1. D

    Ajira za NHIF

    Wadau naomba mwenye taarifa na kazi za NHIF anijuze kama tayari wameita watu kwa ajili ya Interview. Tafadhali.
  2. D

    Hii ndo Hofu Yangu Juu ya Ajira za Uhamiaji

    Achani Ushamba maisha ndivyo yalivyo na Kama ipo ipo tu,bila ubishi Mungu na wanadamu we unategemea nn ikiwa watu daily wana graduate kutoka pande mbali mbali za dunia Cha msingi Kaza na Mtangulize Mungu wako Kwa sana vingine vyote Ushamba tu,na kama ndo hisia zenu basi msiende Shule wala...
  3. D

    Mwenye Taarifa Usaili za NHIF

    Wadau mambo vipi. Nauliza vipi hawa Jamaa wameita watu tayari kwa usaili or vipi? Kama kuna mwenye taarifa tafadhali tufahamishane.
Back
Top Bottom