"Kuna siku Africa itarejea katika utukufu wake"
Sentensi hii imebeba matumaini, Ari na mwanga juu ya afrika mpya.
Lakini napata wasiwasi ninapoona mienendo ya wale waliopewa mamlaka ya kuziongoza nchi za Afrika.
Future of Africa
Je! Kuna siku nchi za Afrika zitaweza kujitengemea katika nyanja za kisiasa na Kiuchumi?
Mustakabali wa bara la Afrika na uwezo wake wa kujinasua kutoka utegemezi wa kisiasa na kiuchumi kwa mataifa mengine imekua ni gumzo kwa Miongo sasa
Imekua kama ndoto kuwa kuna siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.