Recent content by Di23

  1. D

    SoC04 Tanzania huru

    Tanzania huru Tanzania tuitakayo ni ile itakayo mupa uhuru wa kutoa maoni kuhusu selikali yetu , Siasa huru. Siasa huru ni ile inayo mpa mwanachama au mfuasi wa hicho chama kutoa maoni yatakayo isaidkia selikali kujua niwapi wanatakiwa kuongeza kuvu katika utendaji Kaz...
  2. D

    SoC04 Mategemeo ya Watanzania

    MATEGEMEO YA WATANZANIA Tanzania ni nchi yenye kila aina ya kila kitu tunacho kihitaji, ila hatuna viongozi wanaoweza kutuongoza na kutufanya tunufaike na kila kitu tuicho nacho. Mfano; familia anaeiongoza ni baba, baba kama hatakua na misimamo ambayo itawasaidia watoto kuifikia malengo Yao...
  3. D

    SoC04 Tanzania inatakiwa kujiuliza ni wapi inakosea

    Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
Back
Top Bottom